Job 31:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama nimenyosha mkono mahakamani dhidi ya yatima, nikijua nitapendelewa na mahakimu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na kama nimeinua mkono wangu dhidi ya yatima, nikijua kuwa nina ushawishi mahakamani,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikiwa nimewainulia mayatima mkono, Nilipoona msaada wangu langoni;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama nimenyosha mkono mahakamani dhidi ya yatima, nikijua nitapendelewa na mahakimu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na kama nimeinua mkono wangu dhidi ya yatima, nikijua kuwa nina ushawishi mahakamani,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na kama nimeinua mkono wangu dhidi ya yatima, nikijua kuwa nina ushawishi mahakamani,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikiwa nimewainulia mayatima mkono, Nilipoona msaada wangu langoni;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama nimenyosha mkono mahakamani dhidi ya yatima, nikijua nitapendelewa na mahakimu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama nilikemea mwana aliyefiwa na wazazi nikimkunjulia mkono kwa kuona wanaonisaidia langoni penye mashauri,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikiwa nimewainulia mayatima mkono, Nilipoona msaada wangu langoni;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama nimekunjia yatima ngumi katika tribinali nikijua nitapendelewa na waamuzi,