Job 31:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
basi, bega langu na lingoke, mkono wangu na ukwanyuke kiwikoni mwake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
basi mkono wangu na unyofoke toka begani mwangu, nao na uvunjike kutoka kiungio chake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi bega langu na lianguke kutoka mahali pake, Na mkono wangu uvunjike mfupani mwake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
basi, bega langu na ling'oke, mkono wangu na ukwanyuke kiwikoni mwake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
basi mkono wangu na unyofoke toka begani mwangu, nao na uvunjike kutoka katika kiungio chake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
basi mkono wangu na unyofoke toka begani mwangu, nao na uvunjike kutoka kiungio chake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi bega langu na lianguke kutoka mahali pake, Na mkono wangu uvunjike mfupani mwake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
basi, bega langu na lingoke, mkono wangu na ukwanyuke kiwikoni mwake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
bega langu na lianguke kwa kuteuka mahali pake, nalo fupa la mkono wangu na livunjike kiungoni mwake!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi bega langu na lianguke kutoka mahali pake, Na mkono wangu uvunjike mfupani mwake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
basi, bega langu liongoke, mukono wangu ukwanyuke kwenye maungio yake.