Job 31:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, nimepata kufurahia wingi wa utajiri wangu au kujivunia mapato ya mikono yangu?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kama nimefurahia wingi wa utajiri wangu, ustawi ambao mikono yangu ilikuwa imepata,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama nilifurahi kwa kuwa mali yangu yalikuwa mengi, Na kwa sababu mkono wangu umepata vitu vingi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, nimepata kufurahia wingi wa utajiri wangu au kujivunia mapato ya mikono yangu?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kama nimefurahia wingi wa utajiri wangu, ustawi ambao mikono yangu ilikuwa imepata,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kama nimefurahia wingi wa utajiri wangu, ustawi ambao mikono yangu ilikuwa imepata,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kama nilifurahi kwa kuwa mali yangu ilikuwa nyingi, Na kwa sababu mkono wangu umepata vitu vingi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, nimepata kufurahia wingi wa utajiri wangu au kujivunia mapato ya mikono yangu?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kama niliufurahia wingi wa mali zangu, kwa kuwa mkono wangu ulipata vingi vya kuvilimbika,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama nilifurahi kwa kuwa mali yangu yalikuwa mengi, Na kwa sababu mkono wangu umepata vitu vingi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
sikupata kufurahia wingi wa utajiri wangu au kujivunia mapato mengi ya mikono yangu.