Job 31:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama nimeliangalia jua likiangaza, na mwezi ukipita katika uzuri wake,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kama nimelitazama jua katika kung’aa kwake au mwezi ukienda kwa fahari yake,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama nililitazama jua lilipoangaza, Au mwezi ukiendelea katika kung'aa;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama nimeliangalia jua likiangaza, na mwezi ukipita katika uzuri wake,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kama nimelitazama jua katika kung'aa kwake au mwezi ukienda kwa fahari yake,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kama nimelitazama jua katika kung’aa kwake au mwezi ukienda kwa fahari yake,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kama nililitazama jua lilipoangaza, Au mwezi ukiendelea kung'aa;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama nimeliangalia jua likiangaza, na mwezi ukipita katika uzuri wake,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kama hapo, nilipolitazama jua, jinsi linavyoangaza, au mwezi, jinsi unavyoendelea ukiwa na utukufu wake,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama nililitazama jua lilipoangaza, Au mwezi ukiendelea katika kung’aa;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sikuangalia jua likiangaza au mwezi ukipita katika uzuri wake