Job 31:27 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na moyo wangu ukashawishika kuviabudu, nami nikaibusu mikono yangu kwa heshima yake,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
hivyo moyo wangu kushawishiwa kwa siri, au kubusu mkono wangu kwa kuviheshimu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na moyo wangu umeshawishwa kwa siri, Na midomo yangu imeubusu mkono wangu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na moyo wangu ukashawishika kuviabudu, nami nikaibusu mikono yangu kwa heshima yake,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
hivyo moyo wangu kushawishiwa kwa siri, au kubusu mkono wangu kwa kuviheshimu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
hivyo moyo wangu kushawishiwa kwa siri, au kubusu mkono wangu kwa kuviheshimu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na moyo wangu umeshawishwa kwa siri, Na midomo yangu imeubusu mkono wangu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na moyo wangu ukashawishika kuviabudu, nami nikaibusu mikono yangu kwa heshima yake,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kama hapo moyo wangu huko ndani ulitamani kutambika, mpaka kinywa changu kikakinonea kiganja changu:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na moyo wangu umeshawishwa kwa siri, Na midomo yangu imeubusu mkono wangu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kusudi niviabudu kwa siri, na kubusu mikono yangu kwa heshima yake.