Job 31:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, maafa hayawapati watu waovu na maangamizi wale watendao mabaya?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, si uharibifu kwa watu waovu, maangamizi kwa wale watendao mabaya?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Siyo msiba kwa wasio haki, Na hasara kwao watendao uovu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, maafa hayawapati watu waovu na maangamizi wale watendao mabaya?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, si uharibifu kwa watu waovu, maangamizi kwa wale watendao mabaya?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, si uharibifu kwa watu waovu, maangamizi kwa wale watendao mabaya?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Siyo msiba kwa wasio haki, Na hasara kwao watendao uovu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, maafa hayawapati watu waovu na maangamizi wale watendao mabaya?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Wapotovu fungu lao sio mwangamizo? Nao wafanyao maovu fungu lao sio machukivu?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Siyo msiba kwa wasio haki, Na hasara kwao watendao uovu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hasara haipati watu waovu na maangamizi wale wanaotenda mabaya?