Job 31:30 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
La! Sikuruhusu kinywa changu kumtakia mabaya, kwa kumlaani ili afe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
lakini sikuruhusu kinywa changu kufanya dhambi kwa kuomba laana dhidi ya maisha yake;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
(Naam, sikukiacha kinywa changu kufanya dhambi Kwa kuutaka uhai wake kwa kuapiza);
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
La! Sikuruhusu kinywa changu kumtakia mabaya, kwa kumlaani ili afe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
sikuruhusu kinywa changu kufanya dhambi kwa kuomba laana dhidi ya maisha yake,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
lakini sikuruhusu kinywa changu kufanya dhambi kwa kuomba laana dhidi ya maisha yake;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
(Naam, sikukiacha kinywa changu kufanya dhambi Kwa kuutaka uhai wake kwa kuapiza);
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
La! Sikuruhusu kinywa changu kumtakia mabaya, kwa kumlaani ili afe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sikukipa kinywa changu ruhusa kukosa hivyo, kije kuiapiza roho yake, ishuke kuzimuni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
(Naam, sikukiacha kinywa changu kufanya dhambi Kwa kuutaka uhai wake kwa kuapiza);
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hapana! Sikuruhusu kinywa changu kusema mabaya juu yake, kwa kumulaani kusudi akufe.