Job 31:32 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Msafiri hakulala nje ya nyumba yangu, nilimfungulia mlango mpita njia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini hakuna mgeni aliyelala njiani, kwa maana mlango wangu ulikuwa wazi kwa msafiri;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mgeni hakulala njiani; Lakini nilimfungulia msafiri milango yangu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Msafiri hakulala nje ya nyumba yangu, nilimfungulia mlango mpita njia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakuna mgeni aliyelala njiani, kwa maana mlango wangu ulikuwa wazi kwa msafiri,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini hakuna mgeni aliyelala njiani, kwa maana mlango wangu ulikuwa wazi kwa msafiri;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mgeni hakulala njiani; Lakini nilimfungulia msafiri milango yangu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Msafiri hakulala nje ya nyumba yangu, nilimfungulia mlango mpita njia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kweli kwangu hakuwako mgeni aliyelala nje, mimi humfungulia mpitaji milango yangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mgeni hakulala njiani; Lakini nilimfungulia msafiri milango yangu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musafiri hakulala inje ya nyumba yangu; nilimufungulia mulango mupita njia.