Job 31:34 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sijaogopa kusimama mbele ya umati wa watu, wala kukaa kimya au kujifungia ndani, eti kwa kuogopa kutishwa na dharau zao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa sababu ya kuogopa umati wa watu, na hivyo kuwa na hofu ya kudharauliwa na jamaa, nikakaa kimya, nisitoke nje ya mlango.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa sababu niliwaogopa mkutano mkubwa, Na dharau la jamaa lilinitia hofu, Hata nilinyamaa kimya, nisitoke mlangoni-
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sijaogopa kusimama mbele ya umati wa watu, wala kukaa kimya au kujifungia ndani, eti kwa kuogopa kutishwa na dharau zao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa sababu ya kuogopa umati wa watu na hivyo kuwa na hofu ya kudharauliwa na jamaa, nikanyamaza kimya nisitoke nje ya mlango:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa sababu ya kuogopa umati wa watu, na hivyo kuwa na hofu ya kudharauliwa na jamaa, nikanyamaza kimya nisitoke nje ya mlango:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa sababu niliwaogopa mkutano mkubwa, Na dharau la jamaa lilinitia hofu, Hata nilinyamaa kimya, nisitoke mlangoni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sijaogopa kusimama mbele ya umati wa watu, wala kukaa kimya au kujifungia ndani, eti kwa kuogopa kutishwa na dharau zao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Pako, nilipoogopa wingi wa watu? Au yalinistusha mazomeo ya milango yao, hata nikanyamaza, nisitoke nyumbani?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa sababu niliwaogopa mkutano mkubwa, Na dharau la jamaa lilinitia hofu, Hata nilinyamaa kimya, nisitoke mlangoni-
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sijaogopa kusimama mbele ya kundi la watu wala kukaa kimya au kujifungia ndani, kwa kuogopa kutishwa na mazarau yao.