Job 31:36 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ningeyavaa kwa maringo mabegani na kujivisha kichwani kama taji.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakika ningeyavaa begani mwangu, ningeyavaa kama taji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hakika ningeyachukua mabegani; Ningejifungia mfano wa kilemba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ningeyavaa kwa maringo mabegani na kujivisha kichwani kama taji.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakika ningeyavaa begani mwangu, ningeyavaa kama taji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakika ningeyavaa begani mwangu, ningeyavaa kama taji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hakika ningeyachukua mabegani; Ningejifunga mfano wa kilemba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ningeyavaa kwa maringo mabegani na kujivisha kichwani kama taji.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kweli hicho ningekichukua begani pangu, au ningekifunga kichwani pangu kuwa kilemba changu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hakika ningeyachukua mabegani; Ningejifungia mfano wa kilemba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ningeyabeba kwa sifa juu ya mabega yangu na kuyavaa kwenye kichwa kama taji.