Job 31:37 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ningemhesabia Mungu kila kitu nilichofanya, ningemwendea kama mwana wa mfalme.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ningempa hesabu ya kila hatua yangu, ningemwendea kama mwana wa mfalme.)
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ningemwambia hesabu ya hatua zangu Ningemkaribia kama vile mkuu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ningemhesabia Mungu kila kitu nilichofanya, ningemwendea kama mwana wa mfalme.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ningempa hesabu ya kila hatua yangu, ningemwendea kama mwana wa mfalme):
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ningempa hesabu ya kila hatua yangu, ningemwendea kama mwana wa mfalme.)
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ningemwambia hesabu ya hatua zangu Ningemkaribia kama vile mkuu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ningemhesabia Mungu kila kitu nilichofanya, ningemwendea kama mwana wa mfalme.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ningemsimulia hesabu ya nyayo zangu, tena ningekuwa kama mkuu wa watu, nimkaribie.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ningemwambia hesabu ya hatua zangu Ningemkaribia kama vile mkuu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ningemuhesabilia Mungu kila kitu nilichofanya, ningemwendea kama mwana wa mufalme.