Job 31:38 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama nimeiiba ardhi ninayoilima, nikasababisha mifereji yake iomboleze,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Kama nchi yangu inalia dhidi yangu, na mifereji yake yote imelowana kwa machozi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama nchi yangu yalia juu yangu, Na matuta yake hulia pamoja;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama nimeiiba ardhi ninayoilima, nikasababisha mifereji yake iomboleze,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kama nchi yangu inalia dhidi yangu na mifereji yake yote imelowana kwa machozi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kama nchi yangu inalia dhidi yangu, na mifereji yake yote imelowana kwa machozi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kama nchi yangu imelia juu yangu, Na matuta yake hulia pamoja;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama nimeiiba ardhi ninayoilima, nikasababisha mifereji yake iomboleze,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama shamba langu linanisuta na kupiga kelele, kama matuta yake yanaitikia na kulia,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama nchi yangu yalia juu yangu, Na matuta yake hulia pamoja;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama nimeiba shamba ninalolima na kusababisha mifereji yake iomboleze,