Job 31:39 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kwa kufaidika na mazao yake bila kulipa na kusababisha kifo cha wenyewe,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kama nimekula mazao yake bila malipo, au kuvunja mioyo ya wapangaji wake,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama nimeyala matunda yake pasipo kulipa, Au kama nimewafanya wenyewe kupotewa na uhai;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kwa kufaidika na mazao yake bila kulipa na kusababisha kifo cha wenyewe,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kama nimekula mazao yake bila malipo, au kuvunja mioyo ya wapangaji wake,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kama nimekula mazao yake bila malipo, au kuvunja mioyo ya wapangaji wake,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kama nimeyala matunda yake pasipo kulipa, Au kama nimewafanya wenyewe kupotewa na uhai;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kwa kufaidika na mazao yake bila kulipa na kusababisha kifo cha wenyewe,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kama niliyala mazao yake pasipo kulipa na kuizimisha roho yake mwenye shamba,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama nimeyala matunda yake pasipo kulipa, Au kama nimewafanya wenyewe kupotewa na uhai;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kwa kufaidika na mazao yake bila kulipa na kusababisha kifo cha wenyeji,