Job 31:40 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
basi miiba na iote humo badala ya ngano, na magugu badala ya shayiri.” Mwisho wa hoja za Yobu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
basi miiba na iote badala ya ngano, na magugu badala ya shayiri.” Mwisho wa maneno ya Ayubu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Miiba na imee badala ya ngano, Na magugu badala ya shayiri. Maneno ya Ayubu yamekoma hapa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
basi miiba na iote humo badala ya ngano, na magugu badala ya shayiri.” Mwisho wa hoja za Yobu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
basi miiba na iote badala ya ngano na magugu badala ya shayiri.” Mwisho wa maneno ya Ayubu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
basi miiba na iote badala ya ngano, na magugu badala ya shayiri.” Mwisho wa maneno ya Ayubu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Miiba na imee badala ya ngano, Na magugu badala ya shayiri. Maneno ya Ayubu yamekoma hapa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
basi miiba na iote humo badala ya ngano, na magugu badala ya shayiri.” Mwisho wa hoja za Yobu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
basi, penye ngano na patokee mangugi matupu, napo penye mawele ndago tu! Maneno, Iyobu aliyoyasema, yamekwisha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Miiba na imee badala ya ngano, Na magugu badala ya shayiri. Maneno ya Ayubu yamekoma hapa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
basi miiba iote mule pahali pa ngano, na magugu pahali pa shayiri. Mwisho wa masemi ya Yobu.