Job 31:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama hatua zangu zimepotoka, moyo wangu ukafuata tamaa za macho yangu; kama mikono yangu imechafuliwa na dhambi,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kama hatua zangu zimepotoka kutoka njia, kama moyo wangu umeongozwa na macho yangu, au kama mikono yangu imetiwa unajisi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwamba hatua yangu imekengeuka na kuiacha njia, Na moyo wangu kuyaandama macho yangu, Tena kwamba kipaku cho chote kimeshikamana na mikono yangu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama hatua zangu zimepotoka, moyo wangu ukafuata tamaa za macho yangu; kama mikono yangu imechafuliwa na dhambi,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kama hatua zangu zimepotoka kutoka kwenye njia, kama moyo wangu umeongozwa na macho yangu, au kama mikono yangu imetiwa unajisi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kama hatua zangu zimepotoka kutoka kwenye njia, kama moyo wangu umeongozwa na macho yangu, au kama mikono yangu imetiwa unajisi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwamba hatua yangu imekengeuka na kuiacha njia, Na moyo wangu kuyaandama macho yangu, Tena kwamba kipaku chochote kimeshikamana na mikono yangu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama hatua zangu zimepotoka, moyo wangu ukafuata tamaa za macho yangu; kama mikono yangu imechafuliwa na dhambi,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama nyayo zangu ziliiacha njia yake, kama moyo wangu ulizifuata tamaa za macho yangu, kama uchafu wo wote uligandamana na mikono yangu:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwamba hatua yangu imekengeuka na kuiacha njia, Na moyo wangu kuyaandama macho yangu, Tena kwamba kipaku cho chote kimeshikamana na mikono yangu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kama hatua zangu zimepotoka nao moyo wangu ukafuata tamaa za macho yangu, kama mikono yangu imechafuliwa na zambi,