Job 31:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
jasho langu na liliwe na mtu mwingine, mazao yangu shambani na yangolewe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
basi wengine na wale nilichokipanda, nayo yale yote niliyootesha na yang’olewe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi na nipande, mwingine ale; Naam, mazao ya shamba langu na yang'olewe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
jasho langu na liliwe na mtu mwingine, mazao yangu shambani na yang'olewe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
basi wengine na wale vile nilivyovipanda, nayo yale yote niliyootesha na yang'olewe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
basi wengine na wale nilichokipanda, nayo yale yote niliyootesha na yang’olewe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi na nipande, mwingine ale; Naam, mazao ya shamba langu na yang'olewe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
jasho langu na liliwe na mtu mwingine, mazao yangu shambani na yangolewe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
basi, mimi nitakayoyapanda, mwingine na ayale, nayo mazao yangu na yang'olewe pamoja na mizizi yao!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi na nipande, mwingine ale; Naam, mazao ya shamba langu na yang’olewe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
basi nipande na mwingine akule, mazao yangu ya shamba yaongolewe.