Job 32:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Nyinyi mmeduwaa; mmeshindwa, nyinyi hamna cha kusema zaidi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Wametiwa hofu na hawana la zaidi la kusema; maneno yamewaishia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wameshangaa, hawajibu tena; Hawana neno la kusema.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Nyinyi mmeduwaa; mmeshindwa, nyinyi hamna cha kusema zaidi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Wametiwa hofu na hawana la zaidi la kusema, maneno yamewaishia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Wametiwa hofu na hawana la zaidi la kusema; maneno yamewaishia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wameshangaa, hawajibu tena; Hawana neno la kusema.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Nyinyi mmeduwaa; mmeshindwa, nyinyi hamna cha kusema zaidi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, walipostuka, hawakujibu tena, wakawa wamepotelewa na maneno ya kusema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wameshangaa, hawajibu tena; Hawana neno la kusema.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninyi mumeshangaa na kukaa kimya; ninyi hamuna cha kusema zaidi.