Job 32:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ni lazima niseme ili nipate nafuu; yanipasa kufungua kinywa changu na kujibu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ni lazima niseme ili niweze kutulia; ni lazima nifumbue midomo yangu nipate kujibu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nitanena, ili nipate kutulia; Nitafunua midomo yangu na kujibu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ni lazima niseme ili nipate nafuu; yanipasa kufungua kinywa changu na kujibu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ni lazima niseme ili niweze kutulia, ni lazima nifumbue midomo yangu nipate kujibu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ni lazima niseme ili niweze kutulia; ni lazima nifumbue midomo yangu nipate kujibu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nitanena, ili nipate kutulia; Nitafunua midomo yangu na kujibu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ni lazima niseme ili nipate nafuu; yanipasa kufungua kinywa changu na kujibu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Na niseme, humu ndani mpanuke kidogo tu, na niifumbue midomo yangu, nijibu nami.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nitanena, ili nipate kutulia; Nitafunua midomo yangu na kujibu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ni lazima niseme kusudi nipate kutulia; inanipasa kufungua kinywa changu na kujibu.