Job 32:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Elihu alikuwa amekaa kimya wakati hao wazee waliposema na Yobu kwa kuwa yeye alikuwa kijana kuliko wao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Elihu alikuwa amesubiri kwanza waongee na Ayubu, kwa sababu walikuwa na umri mkubwa kuliko yeye.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi huyo Elihu alikuwa anangoja ili anene na Ayubu, kwa sababu hao wengine walikuwa wazee kuliko yeye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Elihu alikuwa amekaa kimya wakati hao wazee waliposema na Yobu kwa kuwa yeye alikuwa kijana kuliko wao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi Elihu alikuwa amesubiri kwanza waongee na Ayubu kwa sababu walikuwa na umri mkubwa kuliko yeye.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi Elihu alikuwa amesubiri kwanza waongee na Ayubu kwa sababu walikuwa na umri mkubwa kumliko yeye.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi huyo Elihu alikuwa anangoja ili anene na Ayubu, kwa sababu hao wengine walikuwa wazee kuliko yeye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Elihu alikuwa amekaa kimya wakati hao wazee waliposema na Yobu kwa kuwa yeye alikuwa kijana kuliko wao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Elihu alikawia kusema na Iyobu, kwani wale walikuwa wakubwa kumpita yeye kwa siku zao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi huyo Elihu alikuwa anangoja ili anene na Ayubu, kwa sababu hao wengine walikuwa wazee kuliko yeye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Elihu alikuwa amekaa kimya wakati wale wazee waliposema na Yobu kwa maana yeye alikuwa kijana kuliko wao.