Job 33:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Sasa, Yobu, sikiliza hoja yangu; sikiliza maneno yangu yote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Lakini Ayubu, sasa sikiliza maneno yangu; zingatia kila kitu nitakachosema.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Walakini, Ayubu, nakuomba usikilize matamko yangu, Ukayasikilize maneno yangu yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Sasa, Yobu, sikiliza hoja yangu; sikiliza maneno yangu yote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Lakini Ayubu, sasa, sikiliza maneno yangu, zingatia kila kitu nitakachosema.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Lakini Ayubu, sasa, sikiliza maneno yangu; zingatia kila kitu nitakachosema.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini, Ayubu, nakuomba usikilize hoja yangu, Ukayasikilize maneno yangu yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Sasa, Yobu, sikiliza hoja yangu; sikiliza maneno yangu yote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo Iyobu, yasikilize nitakayoyasema! Maneno yangu yote yategee masikio yako!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Walakini, Ayubu, nakuomba usikilize matamko yangu, Ukayasikilize maneno yangu yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sasa, Yobu, sikiliza masemi yangu; sikiliza maneno yangu yote.