Job 33:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa nini unashindana naye, ukisema hatajibu swali lako moja?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa nini unamlalamikia kwamba yeye hamjibu mwanadamu?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe kwani kumnung'unikia, Kwa vile asivyotoa hesabu ya mambo yake yote?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa nini unashindana naye, ukisema hatajibu swali lako moja?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa nini unamlalamikia kwamba yeye hamjibu mwanadamu?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa nini unamlalamikia kwamba yeye hamjibu mwanadamu?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa nini unapingana naye, ukisema, Hatajibu hata neno langu moja?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa nini unashindana naye, ukisema hatajibu swali lako moja?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mbona unamgombeza kwa kusema: Hayo yote hajibu neno liwalo lote?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe kwani kumnung’unikia, Kwa vile asivyotoa hesabu ya mambo yake yote?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa nini unashindana naye, ukisema hatajibu ulizo lako moja?