Job 33:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wanaposinzia vitandani mwao. Hapo huwafungulia watu masikio yao; huwatia hofu kwa maonyo yake,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
anaweza akasemea masikioni mwao, na kuwatia hofu kwa maonyo,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo huyafunua masikio ya watu, Na kuyatia muhuri mafundisho yao,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wanaposinzia vitandani mwao. Hapo huwafungulia watu masikio yao; huwatia hofu kwa maonyo yake,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
anaweza akasemea masikioni mwao na kuwatia hofu kwa maonyo,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
anaweza akasemea masikioni mwao, na kuwatia hofu kwa maonyo,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo huyafunua masikio ya watu, Na kuyatia mhuri mafundisho yao,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wanaposinzia vitandani mwao. Hapo huwafungulia watu masikio yao; huwatia hofu kwa maonyo yake,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ndipo, anapoyazibua masikio ya watu, ayatie muhuri hayo, aliyowafunza na kuwaonya,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo huyafunua masikio ya watu, Na kuyatia muhuri mafundisho yao,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
wanaposinzia katika vitanda vyao. Halafu anawafungua watu masikio yao; anawatia hofu kwa maonyo yake,