Job 33:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wapate kuachana na matendo yao mabaya, na kuvunjilia mbali kiburi chao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ili kumgeuza mtu kutoka kutenda mabaya na kumwepusha na kiburi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ili amwondoe mtu katika makusudio yake, Na kumfichia mtu kiburi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wapate kuachana na matendo yao mabaya, na kuvunjilia mbali kiburi chao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ili kumgeuza mtu kutoka kwenye kutenda mabaya na kumwepusha na kiburi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ili kumgeuza mtu kutoka kwenye kutenda mabaya na kumwepusha na kiburi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ili amwondoe mtu katika makusudio yake, Na kumfichia mtu kiburi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wapate kuachana na matendo yao mabaya, na kuvunjilia mbali kiburi chao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
amkataze mtu kuyafanya tena, aliyoyafanya, ayakinge majivuno, yasimpate mtu;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ili amwondoe mtu katika makusudio yake, Na kumfichia mtu kiburi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
wapate kuachana na matendo yao mabaya, na kuvunja kiburi chao.