Job 33:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwili wake hukonda hata asitambuliwe, na mifupa yake iliyofichika ikatokeza nje.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nyama ya mwili wake huisha kwa kukonda, nayo mifupa yake ambayo mwanzoni ilikuwa imefichika, sasa inatokeza nje.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nyama ya mwili wake huliwa, isionekane; Na mifupa yake isiyoonekana yatokea nje.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwili wake hukonda hata asitambuliwe, na mifupa yake iliyofichika ikatokeza nje.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nyama ya mwili wake huisha kwa kukonda, nayo mifupa yake ambayo mwanzoni ilikuwa imefichika, sasa inatokeza nje.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nyama ya mwili wake huisha kwa kukonda, nayo mifupa yake ambayo mwanzoni ilikuwa imefichika, sasa inatokeza nje.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nyama ya mwili wake huliwa, isionekane; Na mifupa yake isiyoonekana yatokeza nje.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwili wake hukonda hata asitambuliwe, na mifupa yake iliyofichika ikatokeza nje.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nyama za mwili wake zinakauka, zisionekane, mifupa yake iliyokuwa haionekani ikatokea waziwazi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nyama ya mwili wake huliwa, isionekane; Na mifupa yake isiyoonekana yatokea nje.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mwili wake unakonda hata hawezi kutambuliwa, na mifupa yake iliyofichama ikatokea inje.