Job 33:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yuko karibu sana kuingia kaburini, na maisha yake karibu na wale waletao kifo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nafsi yake inakaribia kaburi, nao uhai wake karibu na wajumbe wa kifo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naam, nafsi yake inakaribia shimoni, Na uhai wake unakaribia waangamizi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yuko karibu sana kuingia kaburini, na maisha yake karibu na wale waletao kifo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nafsi yake inakaribia kaburi, nao uhai wake karibu na wale wajumbe wa kifo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nafsi yake inakaribia kaburi, nao uhai wake karibu na wajumbe wa kifo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naam, nafsi yake inakaribia shimoni, Na uhai wake unakaribia waangamizi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yuko karibu sana kuingia kaburini, na maisha yake karibu na wale waletao kifo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Roho yake ikafika karibu kuingia shimoni, nao moyo wake ukawafikia wauuao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naam, nafsi yake inakaribia shimoni, Na uhai wake unakaribia waangamizi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yuko karibu sana kuingia ndani ya kaburi, na maisha yake karibu na wale wanaoleta kifo.