Job 33:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
akamwonea huruma na kumwambia Mungu; ‘Mwokoe asiingie Shimoni, ninayo fidia kwa ajili yake.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kumwonea huruma na kusema, ‘Mwokoe asije akatumbukia shimoni; nimepata ukombozi kwa ajili yake’:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo amwoneapo rehema, na kusema, Mwokoe asishuke shimoni; Mimi nimeuona ukombozi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
akamwonea huruma na kumwambia Mungu; ‘Mwokoe asiingie Shimoni, ninayo fidia kwa ajili yake.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kumwonea huruma na kusema, ‘Mwokoe asije akatumbukia shimoni; nimepata ukombozi kwa ajili yake’:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kumwonea huruma na kusema, ‘Mwokoe asije akatumbukia shimoni; nimepata ukombozi kwa ajili yake’:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo amwoneapo rehema, na kusema, Mwokoe asishuke shimoni; Mimi nimeuona ukombozi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
akamwonea huruma na kumwambia Mungu; ‘Mwokoe asiingie Shimoni, ninayo fidia kwa ajili yake.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ndipo, atakapomhurumia na kumwambia: Mwokoe huyu, asishuke shimoni! Kwani makombozi yake nimeyapata.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo amwoneapo rehema, na kusema, Mwokoe asishuke shimoni; Mimi nimeuona ukombozi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yule malaika anaweza kumwonea huruma na kumwomba Mungu: “Umwokoe asiingie katika shimo; nimepata ukombozi wake.”