Job 33:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo mwili wake utaweza kuwa tena kama kijana, ataweza kurudia tena nguvu zake za ujana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ndipo nyama ya mwili wake hufanywa mpya kama ya mtoto; hurudishwa upya kama siku za ujana wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nyama ya mwili wake itakuwa laini kuliko ya mtoto; Huzirudia siku za ujana wake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo mwili wake utaweza kuwa tena kama kijana, ataweza kurudia tena nguvu zake za ujana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ndipo nyama ya mwili wake hufanywa mpya kama ya mtoto, hurudishwa upya kama siku za ujana wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ndipo nyama ya mwili wake hufanywa mpya kama ya mtoto; hurudishwa upya kama siku za ujana wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nyama ya mwili wake itakuwa laini kuliko ya mtoto; Huzirudia siku za ujana wake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo mwili wake utaweza kuwa tena kama kijana, ataweza kurudia tena nguvu zake za ujana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, nyama za mwili wake zitakapochipuka kuliko zile za utoto, azirudie kuwa kama siku hizo za ujana wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nyama ya mwili wake itakuwa laini kuliko ya mtoto; Huzirudia siku za ujana wake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mwili wake utaweza kuwa tena kama kijana, ataweza kurudilia tena nguvu zake za ujana.