Job 33:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha atamwomba Mungu na kukubaliwa, atakuja mbele yake kwa furaha, na Mungu atamrudishia fahari yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Humwomba Mungu, akapata kibali kwake, huuona uso wa Mungu na kushangilia kwa furaha; Mungu humrudisha katika hali yake ya uadilifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yeye humwomba Mungu, naye akamtakabalia; Hata auone uso wake kwa furaha; Naye humrejezea mtu haki yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha atamwomba Mungu na kukubaliwa, atakuja mbele yake kwa furaha, na Mungu atamrudishia fahari yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Humwomba Mungu naye akapata kibali kwake, huuona uso wa Mungu na kushangilia kwa furaha, Mungu humrudisha katika hali yake ya uadilifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Humwomba Mungu, akapata kibali kwake, huuona uso wa Mungu na kushangilia kwa furaha; Mungu humrudisha katika hali yake ya uadilifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yeye humwomba Mungu, naye akamtakabalia; Hata auone uso wake kwa furaha; Naye humrejeshea mtu haki yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha atamwomba Mungu na kukubaliwa, atakuja mbele yake kwa furaha, na Mungu atamrudishia fahari yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Atakapomwomba Mungu, atapendezwa naye, atamwonyesha uso wake, aushangilie; ndivyo, anavyompatia mtu kuwa mwongofu tena.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yeye humwomba Mungu, naye akamtakabalia; Hata auone uso wake kwa furaha; Naye humrejezea mtu haki yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha atamwomba Mungu na kukubaliwa, atakuja mbele yake kwa furaha, na Mungu atamurudishia utukufu wake.