Job 33:28 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mungu aliniokoa nisiangamie Shimoni; nimebaki hai na ninaona mwanga.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alinikomboa nafsi yangu nisitumbukie shimoni, nami nitaishi ili kuufurahia mwanga.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yeye ameikomboa nafsi yangu isiende shimoni, Na uhai wangu utautazama mwanga.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu aliniokoa nisiangamie Shimoni; nimebaki hai na ninaona mwanga.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alinikomboa nafsi yangu nisitumbukie shimoni, nami nitaishi ili kuufurahia mwanga.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alinikomboa nafsi yangu nisitumbukie shimoni, nami nitaishi ili kuufurahia mwanga.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yeye ameikomboa nafsi yangu isiende shimoni, Na uhai wangu utautazama mwanga.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu aliniokoa nisiangamie Shimoni; nimebaki hai na ninaona mwanga.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akaikomboa roho yangu, isitumbukie shimoni, moyo wangu uufurahie huu mwanga!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yeye ameikomboa nafsi yangu isiende shimoni, Na uhai wangu utautazama mwanga.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu aliniokoa nisiangamie katika shimo; nimebaki muzima na ninaona mwangaza.”