Job 33:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitasema kadiri ya unyofu wa moyo wangu; ninayoyajua nitayasema kwa uaminifu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Maneno yangu yanatoka katika moyo mnyofu; midomo yangu hunena kwa uaminifu yale niyajuayo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maneno yangu yatatamka uelekevu wa moyo wangu; Na hayo niyajuayo midomo yangu itayanena kwa unyofu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitasema kadiri ya unyofu wa moyo wangu; ninayoyajua nitayasema kwa uaminifu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Maneno yangu yanatoka katika moyo mnyofu, midomo yangu hunena kwa uaminifu yale niyajuayo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Maneno yangu yanatoka katika moyo mnyofu; midomo yangu hunena kwa uaminifu yale niyajuayo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maneno yangu yatatamka uelekevu wa moyo wangu; Na hayo niyajuayo midomo yangu itayanena kwa unyofu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitasema kadiri ya unyofu wa moyo wangu; ninayoyajua nitayasema kwa uaminifu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Maneno yangu yananyoka kama moyo wangu; midomo yangu itayasema ninayoyajua, yaliyo ya kweli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maneno yangu yatatamka uelekevu wa moyo wangu; Na hayo niyajuayo midomo yangu itayanena kwa unyofu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitasema kadiri ya usawa wa moyo wangu; ninayoyajua nitayasema kwa uaminifu.