Job 33:30 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Humwokoa binadamu asiangamie Shimoni, aweze kuona mwanga wa maisha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ili aigeuze nafsi yake toka shimoni, ili nuru ya uzima imwangazie.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ili kurudisha roho yake itoke shimoni, Ili atiwe mwanga kwa mwanga wa walio hai.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Humwokoa binadamu asiangamie Shimoni, aweze kuona mwanga wa maisha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ili aigeuze nafsi yake toka shimoni, ili nuru ya uzima imwangazie.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ili aigeuze nafsi yake toka shimoni, ili nuru ya uzima imwangazie.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ili kurudisha roho yake itoke shimoni, Ili atiwe mwanga kwa mwanga wa walio hai.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Humwokoa binadamu asiangamie Shimoni, aweze kuona mwanga wa maisha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
airudishe roho ya mtu, isitumbukie shimoni, mwanga wenye uzima umwangazikie.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ili kurudisha roho yake itoke shimoni, Ili atiwe mwanga kwa mwanga wa walio hai.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anamwokoa mwanadamu asiangamie katika shimo, aweze kuona mwangaza wa maisha.