Job 33:31 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sikia Yobu, nisikilize kwa makini; kaa kimya, nami nitasema.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Ayubu, zingatia, nisikilize mimi; nyamaza, nami nitanena.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Angalia sana, Ee Ayubu, unisikilize; Nyamaza, mimi nitasema.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sikia Yobu, nisikilize kwa makini; kaa kimya, nami nitasema.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Ayubu, zingatia, nisikilize mimi, nyamaza kimya, nami nitanena.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Ayubu, zingatia, nisikilize mimi; nyamaza, nami nitanena.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Angalia sana, Ee Ayubu, unisikilize; Nyamaza, mimi nitasema.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sikia Yobu, nisikilize kwa makini; kaa kimya, nami nitasema.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tega masikio, Iyobu, unisikilize! Nyamaza tu, mimi niseme!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Angalia sana, Ee Ayubu, unisikilize; Nyamaza, mimi nitasema.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sikia Yobu, unisikilize kwa uangalifu; ukae kimya, nami nitasema.