Job 33:32 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama una la kusema, nijibu; sema, maana nataka kukuona huna hatia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama unalo lolote la kusema, unijibu; sema, kwa maana ninataka uonekane huna hatia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama una neno la kusema, nijibu; Nena, kwani nataka kukuhesabia kuwa na haki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama una la kusema, nijibu; sema, maana nataka kukuona huna hatia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama unalo lo lote la kusema, unijibu, sema, kwa maana ninataka uonekane huna hatia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama unalo lolote la kusema, unijibu; sema, kwa maana ninataka uonekane huna hatia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kama una neno la kusema, nijibu; Nena, kwani nataka kukuhesabia kuwa na haki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama una la kusema, nijibu; sema, maana nataka kukuona huna hatia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama unaona la kusema, nijibu! Sema! Kwani nitapendezwa kukuona kuwa mwenye wongofu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama una neno la kusema, nijibu; Nena, kwani nataka kukuhesabia kuwa na haki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama una la kusema, unijibu; sema, maana ninataka kukuona bila kosa.