Job 33:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Roho ya Mungu iliniumba, nayo pumzi ya Mungu Mwenye Nguvu yanipa uhai.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Roho wa Mungu ameniumba; pumzi ya Mwenyezi hunipa uhai.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Roho ya Mungu imeniumba, Na pumzi za Mwenyezi hunipa uhai.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Roho ya Mungu iliniumba, nayo pumzi ya Mungu Mwenye Nguvu yanipa uhai.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Roho wa Mungu ameniumba, pumzi ya Mwenyezi hunipa uhai.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Roho wa Mwenyezi Mungu ameniumba; pumzi ya Mwenyezi hunipa uhai.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Roho ya Mungu imeniumba, Na pumzi za Mwenyezi hunipa uhai.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Roho ya Mungu iliniumba, nayo pumzi ya Mungu Mwenye Nguvu yanipa uhai.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Roho ya Mungu aliyeniumba na pumzi ya Mwenyezi zinanipa kuwapo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Roho ya Mungu imeniumba, Na pumzi za Mwenyezi hunipa uhai.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Roho ya Mungu iliniumba, nayo pumzi ya Mungu Mwenye Uwezo inanipa uzima.