Job 33:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nijibu, kama unaweza. Panga hoja zako vizuri mbele yangu, ushike msimamo wako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Unijibu basi, kama unaweza; jiandae kunikabili mimi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwamba waweza, nijibu; Yapange maneno yako sawasawa mbele yangu, usimame.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nijibu, kama unaweza. Panga hoja zako vizuri mbele yangu, ushike msimamo wako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Unijibu basi, kama unaweza, jiandae kunikabili mimi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Unijibu basi, kama unaweza; jiandae kunikabili mimi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikiwa unaweza, nijibu; Yapange maneno yako sawasawa mbele yangu, usimame.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nijibu, kama unaweza. Panga hoja zako vizuri mbele yangu, ushike msimamo wako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama utaweza na unijibu! Jiweke tayari kusimama usoni pangu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwamba waweza, nijibu; Yapange maneno yako sawasawa mbele yangu, usimame.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unijibu, kama unaweza. Panga masemi yako vizuri mbele yangu, ushike musimamo wako.