Job 33:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wewe na mimi ni sawa mbele ya Mungu; mimi pia niliumbwa kwa sehemu ya udongo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mimi ni kama wewe mbele za Mungu; mimi pia nimetolewa kwenye udongo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, mimi ni mbele ya Mungu kama ulivyo wewe; Mimi nami nilifinyangwa katika udongo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wewe na mimi ni sawa mbele ya Mungu; mimi pia niliumbwa kwa sehemu ya udongo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mimi ni kama wewe mbele za Mungu, mimi pia nimetolewa kwenye udongo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mimi ni kama wewe mbele za Mungu; mimi pia nimetolewa kwenye udongo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, mimi ni mbele ya Mungu kama ulivyo wewe; Mimi nami nilifinyangwa katika udongo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wewe na mimi ni sawa mbele ya Mungu; mimi pia niliumbwa kwa sehemu ya udongo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tazama! Mimi na wewe kwake Mungu tu sawa, mimi nami nilifinyangwa kwa udongo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, mimi ni mbele ya Mungu kama ulivyo wewe; Mimi nami nilifinyangwa katika udongo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe na mimi ni sawa mbele ya Mungu; mimi vilevile niliumbwa kwa sehemu ya udongo.