Job 33:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kweli umesema, nami nikasikia; nimeyasikia yote uliyosema.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Lakini umesema nikiwa ninakusikia, nami nilisikia maneno yenyewe:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hakika umenena masikioni mwangu, Nami nimesikia sauti ya maneno yako, ukisema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kweli umesema, nami nikasikia; nimeyasikia yote uliyosema.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Lakini umesema nikiwa ninakusikia, nilisikia maneno yenyewe,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Lakini umesema nikiwa ninakusikia, nami nilisikia maneno yenyewe:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hakika umenena masikioni mwangu, Nami nimesikia sauti ya maneno yako, ukisema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kweli umesema, nami nikasikia; nimeyasikia yote uliyosema.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kweli ulisema masikioni pangu, nikaisikia sauti yao hayo maneno:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hakika umenena masikioni mwangu, Nami nimesikia sauti ya maneno yako, ukisema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kweli umesema, nami nikasikia; nimesikia yote uliyosema.