Job 34:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama Mungu angejifikiria tu yeye mwenyewe, akiondoa pumzi yake ya uhai duniani,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama lilikuwa kusudi la Mungu, naye akaiondoa Roho yake na pumzi yake,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama akimwekea mtu moyo wake, Akijikusanyia roho yake na pumzi zake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama Mungu angejifikiria tu yeye mwenyewe, akiondoa pumzi yake ya uhai duniani,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama lilikuwa kusudi la Mungu naye akaiondoa Roho yake na pumzi yake,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama lilikuwa kusudi la Mungu, naye akaiondoa Roho yake na pumzi yake,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kama akimwekea mtu moyo wake, Akijikusanyia roho yake na pumzi zake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama Mungu angejifikiria tu yeye mwenyewe, akiondoa pumzi yake ya uhai duniani,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama angeuelekeza moyo wake kuyaangalia yamfaliayo mwenyewe, au kama angeirudisha kwake roho na pumzi yake,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama akimwekea mtu moyo wake, Akijikusanyia roho yake na pumzi zake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama Mungu angejifikiri tu yeye mwenyewe, akiondoa pumzi yake ya uzima katika dunia,