Job 34:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
viumbe vyote vingeangamia kabisa, naye binadamu angerudi mavumbini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wanadamu wote wangeangamia kwa pamoja, na mtu angerudi mavumbini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wenye mwili wote wataangamia pamoja, Nao wanadamu watarejea tena kuwa mavumbi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
viumbe vyote vingeangamia kabisa, naye binadamu angerudi mavumbini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wanadamu wote wangeliangamia kwa pamoja na mtu angerudi mavumbini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wanadamu wote wangeliangamia kwa pamoja, na mtu angerudi mavumbini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wenye mwili wote wangeangamia pamoja, Nao wanadamu watarejea tena kuwa mavumbi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
viumbe vyote vingeangamia kabisa, naye binadamu angerudi mavumbini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wote wenye miili yenye nyama wangezimia kwa mara moja, nao watu wangerudi kuwa mavumbi tena.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wenye mwili wote wataangamia pamoja, Nao wanadamu watarejea tena kuwa mavumbi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
viumbe vyote vingeangamia kabisa, naye mwanadamu angerudi katika mavumbi.