Job 34:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, anayetawala ulimwengu kwa sheria zake anachukia haki? Je, utathubutu kumhukumu mwadilifu na mwenye nguvu?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, yeye aichukiaye haki aweza kutawala? Je, utamhukumu mwenye haki, yeye Aliye na Nguvu Zote?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Atatawala mtu aichukiaye haki hata mmoja? Nawe, je! Utamhukumia mkosa aliye na haki na mwenye nguvu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, anayetawala ulimwengu kwa sheria zake anachukia haki? Je, utathubutu kumhukumu mwadilifu na mwenye nguvu?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, yeye aichukiaye haki aweza kutawala? Je, utamhukumu mwenye haki, Aliye na Nguvu Zote?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, yeye aichukiaye haki aweza kutawala? Je, utamhukumu mwenye haki, Aliye na Nguvu Zote?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Atatawala mtu aichukiaye haki hata mmoja? Nawe, je! Utamhukumia mkosa aliye na haki na mwenye nguvu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, anayetawala ulimwengu kwa sheria zake anachukia haki? Je, utathubutu kumhukumu mwadilifu na mwenye nguvu?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Achukizwaye na mashauri yaliyo sawa anaweza kutawala? Au mkuu aongokaye utamwazia kuwa mwovu?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Atatawala mtu aichukiaye haki hata mmoja? Nawe, je! Utamhukumia mkosa aliye na haki na mwenye nguvu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anayetawala ulimwengu kwa sheria zake anachukia haki? Utasubutu kumuhukumu mwenye haki na mwenye nguvu,