Job 34:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Amwambiaye mfalme, ‘Wewe ni takataka!’ Na watu mashuhuri, ‘Nyinyi ni waovu!’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, si ni yeye awaambiaye wafalme, ‘Ninyi hamfai kitu,’ nao watu mashuhuri, ‘Ninyi ni waovu,’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Inafaa kumwambia mfalme, Wewe u mwovu? Au kuwaambia wakuu, Ninyi ni wabaya?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Amwambiaye mfalme, ‘Wewe ni takataka!’ na watu mashuhuri, ‘Nyinyi ni waovu!’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, si ni yeye awaambiaye wafalme, ‘Ninyi hamfai kitu,’ nao watu mashuhuri, ‘Ninyi ni waovu!’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, si ni yeye awaambiaye wafalme, ‘Ninyi hamfai kitu,’ nao watu mashuhuri, ‘Ninyi ni waovu,’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Inafaa kumwambia mfalme, Wewe u mwovu? Au kuwaambia wakuu, Ninyi ni wabaya?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Amwambiaye mfalme, ‘Wewe ni takataka!’ Na watu mashuhuri, ‘Nyinyi ni waovu!’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Utamwambia mfalme: Hufai kitu? au wakuu: M waovu?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Inafaa kumwambia mfalme, Wewe u mwovu? Au kuwaambia wakuu, Ninyi ni wabaya?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
anayemwambia mufalme “Wewe ni wa ovyo!” na watu wenye heshima “Ninyi ni waovu!”