Job 34:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeye hawapendelei wakuu, wala kuwajali matajiri kuliko maskini, maana wote hao ni kazi ya mikono yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
yeye asiyependelea wakuu, wala haoneshi upendeleo kwa matajiri kuliko maskini, kwa kuwa wote ni kazi ya mikono yake?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sembuse huyo asiyependelea nyuso za wakuu, Wala hawajali matajiri kuliko maskini? Kwani wote ni kazi ya mikono yake,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeye hawapendelei wakuu, wala kuwajali matajiri kuliko maskini, maana wote hao ni kazi ya mikono yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeye asiyependelea wakuu na wala haonyeshi upendeleo kwa matajiri kuliko maskini, kwa kuwa wote ni kazi ya mikono yake?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
yeye asiyependelea wakuu, wala haonyeshi upendeleo kwa matajiri kuliko maskini, kwa kuwa wote ni kazi ya mikono yake?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sembuse yeye huwajali nyuso za wakuu, Wala hawajali matajiri kuliko maskini? Kwani wote ni kazi ya mikono yake,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeye hawapendelei wakuu, wala kuwajali matajiri kuliko maskini, maana wote hao ni kazi ya mikono yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Mungu hazipendelei nyuso za wakuu, wala hawatazami wenye nguvu kuliko wanyonge, kwani wote ni viumbe vya mikono yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sembuse huyo asiyependelea nyuso za wakuu, Wala hawajali matajiri kuliko maskini? Kwani wote ni kazi ya mikono yake,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeye hawapendelei wakubwa, wala kuwajali watajiri kuliko wamasikini, maana wote hao ni kazi ya mikono yake.