Job 34:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hakuna weusi wala giza nene ambamo watenda maovu waweza kujificha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakuna mahali penye giza nene, wala uvuli mkubwa, ambapo watenda maovu wanaweza kujificha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hapana weusi, wala hilo giza tupu, Wawezapo kujificha watendao udhalimu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hakuna weusi wala giza nene ambamo watenda maovu waweza kujificha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakuna mahali penye giza nene, wala uvuli mkubwa, ambapo watenda mabaya wanaweza kujificha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakuna mahali penye giza nene, wala uvuli mkubwa, ambapo watenda mabaya wanaweza kujificha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hapana hofu ya giza kuu, mahali wawezapo kujificha watendao udhalimu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hakuna weusi wala giza nene ambamo watenda maovu waweza kujificha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hapapatikani penye giza kabisa wala kivuli chenye weusi, wapate kujificha mlemle wafanyao maovu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hapana weusi, wala hilo giza tupu, Wawezapo kujificha watendao udhalimu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hakuna weusi wala giza kubwa ambamo watenda maovu wanaweza kujificha.