Job 34:29 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama Mungu akinyamaza, nani awezaye kumlaumu? Kama akificha uso wake, nani awezaye kumwona,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini akikaa kimya, ni nani awezaye kumhukumu? Akiuficha uso wake, ni nani awezaye kumwona? Ikiwa ni taifa au mtu mmoja, kwake ni sawa,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akitoa utulivu yeye, ni nani awezaye kuhukumia makosa? Akificha uso wake, ni nani awezaye kumtazama? Kama hufanyiwa taifa, au mtu mmoja, ni sawasawa;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama Mungu akinyamaza, nani awezaye kumlaumu? Kama akificha uso wake, nani awezaye kumwona,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini kama akinyamaza kimya, ni nani awezaye kumhukumu? Kama akificha uso wake, ni nani awezaye kumwona? Ikiwa ni taifa au mtu mmoja, kwake ni sawa,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini kama akinyamaza kimya, ni nani awezaye kumhukumu? Kama akiuficha uso wake, ni nani awezaye kumwona? Ikiwa ni taifa au mtu mmoja, kwake ni sawa,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akitoa utulivu yeye, ni nani awezaye kuhukumia makosa? Akificha uso wake, ni nani awezaye kumtazama? Kama hufanyiwa taifa, au mtu mmoja, ni sawasawa;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama Mungu akinyamaza, nani awezaye kumlaumu? Kama akificha uso wake, nani awezaye kumwona,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akiwanyamazisha hivyo, yuko nani atakayemwambia: Unafanya nini? Akiuficha uso wake, yuko nani awezaye kumwona? Njia yake ya kuwaendea wote ni hiyo moja, wao walio mataifa mazima naye mtu aliye peke yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akitoa utulivu yeye, ni nani awezaye kuhukumia makosa? Akificha uso wake, ni nani awezaye kumtazama? Kama hufanyiwa taifa, au mtu mmoja, ni sawasawa;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama Mungu akinyamaza, nani anayeweza kumuhukumu? Kama akificha uso wake, nani anayeweza kumwona, ikiwa ni taifa au mutu mumoja?