Job 34:36 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Laiti Yobu angechunguzwa mpaka mwisho, kwa maana anajibu kama watu waovu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Laiti Ayubu angejaribiwa hadi mwisho, kwa sababu anajibu kama mtu mwovu!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Laiti Ayubu angejaribiwa hata mwisho, Kwa kuwa amejibu kama watu waovu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Laiti Yobu angechunguzwa mpaka mwisho, kwa maana anajibu kama watu waovu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Laiti Ayubu angejaribiwa mpaka kikomo cha mwisho, kwa sababu anajibu kama mtu mwovu!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Laiti Ayubu angejaribiwa hadi kikomo cha mwisho, kwa sababu anajibu kama mtu mwovu!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Laiti Ayubu angejaribiwa hadi mwisho, Kwa kuwa amejibu kama watu waovu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Laiti Yobu angechunguzwa mpaka mwisho, kwa maana anajibu kama watu waovu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Basi, kwa hiyo Iyobu na ajaribiwe kale na kale, kwani kama watu waovu wanavyojibu, ndivyo, anavyojibu naye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Laiti Ayubu angejaribiwa hata mwisho, Kwa kuwa amejibu kama watu waovu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Heri Yobu angechunguzwa mpaka mwisho, kwa maana anajibu kama watu waovu.