Job 34:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ingawa sina hatia naonekana kuwa mwongo; kidonda changu hakiponyeki ingawa sina kosa.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ingawa niko sawa, ninaonekana mwongo; nami ingawa sina kosa, kidonda changu hakiponi.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nijapokuwa mwenye haki, nimehesabiwa kuwa mwongo; Jeraha yangu haiponyeki, nijapokuwa sina makosa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ingawa sina hatia naonekana kuwa mwongo; kidonda changu hakiponyeki ingawa sina kosa.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ingawa niko sawa, ninaonekana mwongo, nami ingawa sina kosa, kidonda changu hakiponi.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ingawa niko sawa, ninaonekana mwongo; nami ingawa sina kosa, kidonda changu hakiponi.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nijapokuwa mwenye haki, nimehesabiwa kuwa mwongo; Jeraha langu haliponyeki, nijapokuwa sina makosa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ingawa sina hatia naonekana kuwa mwongo; kidonda changu hakiponyeki ingawa sina kosa.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ingawa sikukosa, napewa uwongo, kidonda, mshale wake ulichonipiga, hakiponi, tena hakuna kiovu, nilichokifanya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nijapokuwa mwenye haki, nimehesabiwa kuwa mwongo; Jeraha yangu haiponyeki, nijapokuwa sina makosa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ingawa sina kosa, ninaonekana kuwa mwongo. Kidonda changu hakiponi ingawa sina kosa.”