Job 35:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini hakuna asemaye, ‘Yuko wapi Mungu, Muumba wangu, mwenye kunifanya niwe mchangamfu usiku,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini hakuna asemaye, ‘Yuko wapi Mungu Muumba wangu, yeye anifanyaye niimbe usiku,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wala hapana asemaye, Yuko wapi Mungu Muumba wangu, Awapaye nyimbo wakati wa usiku;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini hakuna asemaye, ‘Yuko wapi Mungu, Muumba wangu, mwenye kunifanya niwe mchangamfu usiku,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini hakuna asemaye, ‘Yuko wapi Mungu Muumba wangu, yeye anifanyaye niimbe usiku,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini hakuna asemaye, ‘Yuko wapi Mungu Muumba wangu, yeye anifanyaye niimbe usiku,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wala hapana asemaye, Yuko wapi Mungu Muumba wangu, Awapaye nyimbo wakati wa usiku;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini hakuna asemaye, ‘Yuko wapi Mungu, Muumba wangu, mwenye kunifanya niwe mchangamfu usiku,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini hakuna aulizaye: Yuko wapi Mungu aliyeniumba? Siye anayeniimbisha hata usiku?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wala hapana asemaye, Yuko wapi Mungu Muumba wangu, Awapaye nyimbo wakati wa usiku;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini hakuna anayesema: “Yuko wapi Mungu, Muumba wangu, mwenye kunifanya nichangamuke usiku,