Job 35:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
anayetuelimisha kuliko wanyama, na kutufanya wenye hekima kuliko ndege!’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
yeye atufundishaye sisi zaidi ya wanyama wa nchi, na kutufanya wenye hekima kuliko ndege wa angani?’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Atufundishaye zaidi ya hayawani wa nchi, Na kutufanya wenye hekima kuliko ndege za angani?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
anayetuelimisha kuliko wanyama, na kutufanya wenye hekima kuliko ndege!’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
yeye atufundishaye sisi zaidi kuliko wanyama wa dunia, na kutufanya wenye hekima kuliko ndege wa angani?’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
yeye atufundishaye sisi zaidi kuliko wanyama wa dunia, na kutufanya wenye hekima kuliko ndege wa angani?’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Atufundishaye zaidi ya wanyama wa nchi, Na kutufanya wenye hekima kuliko ndege wa angani?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
anayetuelimisha kuliko wanyama, na kutufanya wenye hekima kuliko ndege!’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Atufundishaye kuliko nyama wa porini siye yeye? Tena siye yeye atuerevushaye kuliko ndege wa angani?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Atufundishaye zaidi ya hayawani wa nchi, Na kutufanya wenye hekima kuliko ndege za angani?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
anayetuelimisha kuliko nyama, na kutufanya wenye hekima kuliko ndege!”