Job 35:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kweli Mungu hasikilizi kilio cha bure; Mungu Mwenye Nguvu hajali kilio hicho.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naam, Mungu hasikilizi maombi yao ya ubatili; Mwenyezi hayazingatii.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hakika Mungu hatasikia ubatili, Wala Mwenyezi hatauangalia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kweli Mungu hasikilizi kilio cha bure; Mungu Mwenye Nguvu hajali kilio hicho.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naam, Mungu hasikilizi maombi yao ya ubatili, Mwenyezi hayazingatii.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naam, Mungu hasikilizi maombi yao ya ubatili; Mwenyezi hayazingatii.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hakika Mungu hatasikia ubatili, Wala Mwenyezi hatauangalia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kweli Mungu hasikilizi kilio cha bure; Mungu Mwenye Nguvu hajali kilio hicho.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Vilio vya bure Mungu havisikii, aliye Mwenyezi haviangalii.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hakika Mungu hatasikia ubatili, Wala Mwenyezi hatauangalia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kweli Mungu hasikilizi kilio cha bure; Mungu Mwenye Uwezo hajali kilio kile.