Job 35:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Atakujibu vipi wakati wewe unasema kwamba humwoni na kwamba kesi yako iko mbele yake na wewe unamngojea!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Si zaidi sana kwamba hatakusikiliza wewe usemapo humwoni, tena kwamba kesi yako iko mbele zake na wewe lazima umngojee,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sembuse usemapo wewe ya kuwa humwangalii, Hiyo daawa i mbele yake, nawe wamngojea!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Atakujibu vipi wakati wewe unasema kwamba humwoni na kwamba kesi yako iko mbele yake na wewe unamngojea!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Si zaidi sana kwamba hatakusikiliza wewe usemapo humwoni, tena ya kwamba shauri lako liko mbele zake na wewe lazima umngojee,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Si zaidi sana kwamba hatakusikiliza wewe usemapo humwoni, tena ya kwamba shauri lako liko mbele zake na wewe lazima umngojee,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sembuse usemapo wewe ya kuwa humwangalii, Hiyo kesi i mbele yake, nawe wamngojea!
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Atakujibu vipi wakati wewe unasema kwamba humwoni na kwamba kesi yako iko mbele yake na wewe unamngojea!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ikiwa, unasema nawe, ya kama humwoni, hilo shauri liko kwake, wewe umngoje tu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sembuse usemapo wewe ya kuwa humwangalii, Hiyo daawa i mbele yake, nawe wamngojea!
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Atakujibu namna gani wakati wewe unasema kwamba haumwoni na kwamba maneno yako iko mbele yake na wewe unamungojea!